|
![]() |
|||
|
||||
OverviewKatika sehemu ya kwanza na ya pili ya kitabu, Chachage anafanya uchambuzi wa kina wa mfumo wa utandawazi na soko huria. Makala yake juu ya zao la tumbaku na korosho yanadhihirisha wazi madhara yaliyowapata wakulima wadogowadogo katika soko huria, kwa maana nyingine, anaelezea juu ya uhuru waliopewa wafanyabiashara wanunuzi wa mazao ya wakulima bila usimamizi wa serikali. Kwa ustadi mkubwa, msomi wetu pia anachambua nafasi na hali ya wachimbaji wadogowadogo na jinsi wawekezaji katika migodi wanavyochuma rasilimali zetu bila kunufaisha nchi wala wazalishaji wadogo. Jambo hilo siyo geni. Hivi karibuni kumekuwa na mijadala katika magazeti ambayo inaonesha waziwazi jinsi wawekezaji katika madini wanavyonyonya nchi hii na kujilimbikizia utajiri. Hata hivyo, watawala huendelea kuegemea upande wao bila kujali ustawi wa jamii yetu. Sehemu ya Utangulizi Full Product DetailsAuthor: Chachage Seithy L ChachagePublisher: E & D Vision Publishing Limited Imprint: E & D Vision Publishing Limited Dimensions: Width: 12.90cm , Height: 1.50cm , Length: 19.80cm Weight: 0.272kg ISBN: 9789987735273ISBN 10: 9987735274 Pages: 276 Publication Date: 01 January 2014 Audience: General/trade , General Format: Paperback Publisher's Status: Active Availability: Available To Order ![]() We have confirmation that this item is in stock with the supplier. It will be ordered in for you and dispatched immediately. Language: Swahili Table of ContentsReviewsAuthor InformationTab Content 6Author Website:Countries AvailableAll regions |