|
![]() |
|||
|
||||
OverviewSauti ya Jogoo. Jifunze sauti ya jogoo na maisha ya wanyama wa nyumbani. Jifunze kuhusu sauti zao, chakula chao, mahali wanapoishi na pia nani ni mlafi kupita wengine. Hadithi imepambwa kwa michoro yenye rangi za kuvutia ya aina ya Tingatinga ili watoto wafurahie wakati wanajifunza. Full Product DetailsAuthor: Mrs Corona Kimaro Cermak , MR John KilakaPublisher: Createspace Independent Publishing Platform Imprint: Createspace Independent Publishing Platform Dimensions: Width: 21.60cm , Height: 0.20cm , Length: 21.60cm Weight: 0.086kg ISBN: 9781725986886ISBN 10: 1725986884 Pages: 26 Publication Date: 16 July 2018 Audience: General/trade , General Format: Paperback Publisher's Status: Active Availability: Available To Order ![]() We have confirmation that this item is in stock with the supplier. It will be ordered in for you and dispatched immediately. Language: Swahili Table of ContentsReviewsAuthor InformationCorona Cermak amezaliwa nchini Tanzania. Ana Shahada (Digrii) ya Sheria kutoka Chuo Kikuu cha London. Kwa sasa, anaishi Brno, Jamuhuri ya Czech na mume wake na watoto wao wawili. Corona ni mwalimu wa Chekechea, shule ambayo inafuata mfumo wa ufundishaji unaomshirikisha mtoto katika mchakato mzima wa kujifunza (Reggio Emilia.) Pia ni mpenzi wa kuandika, kusimulia na kutayarisha hadithi za watoto. Tab Content 6Author Website:Countries AvailableAll regions |