Ongeza ufahamu wako kuhusu maombi

Author:   Samuel Aswile
Publisher:   Samuel Aswile
ISBN:  

9798227120762


Pages:   166
Publication Date:   07 October 2024
Format:   Paperback
Availability:   Available To Order   Availability explained
We have confirmation that this item is in stock with the supplier. It will be ordered in for you and dispatched immediately.

Our Price $31.65 Quantity:  
Add to Cart

Share |

Ongeza ufahamu wako kuhusu maombi


Overview

Kitabu hiki ni matokeo ya somo tulio kuwa tunajifunza katika semina ya neno la Mungu . Roho mtakafu ameweka msukumo ndani yangu nikushirikishe somo hili kwa njia ya kitabu hiki. Ukiwa umesoma mpaka sentensi hii basi umekuwa sehemu ya wale walio teuliwa kuijua siri ya maombi kupitia kitabu hiki, nakushi sana ukisoma kitabu hiki. Ndani ya kitabu hiki utanifunza mambo mengi, ikiwemo kupata majibu ya maswali ambayo waamini wengi hujiuliza kuhusu maombi wamwombayo Mubgu kama: kama: ​​​​​​​​​ kwa nini tunaomba Mungu ikiwa Mungu anatupenda?. Je Maombi hujibiwa na Mungu?. Nani anapaswa kuwa mwombaji?. 4. Je naweza kuomba chochote nikapewa?. Haya ni badhi tu ya maswali unayoweza kupata majibu yake ndani ya kitabu hiki. Kuna mengi sana utajifunza kuhusu imani ya kikristo. Karibu tujifunze pamoja kusudi upate kuijua siri ya maombi ukue kiroho.

Full Product Details

Author:   Samuel Aswile
Publisher:   Samuel Aswile
Imprint:   Samuel Aswile
Dimensions:   Width: 14.00cm , Height: 1.00cm , Length: 21.60cm
Weight:   0.218kg
ISBN:  

9798227120762


Pages:   166
Publication Date:   07 October 2024
Audience:   General/trade ,  General
Format:   Paperback
Publisher's Status:   Active
Availability:   Available To Order   Availability explained
We have confirmation that this item is in stock with the supplier. It will be ordered in for you and dispatched immediately.

Table of Contents

Reviews

Author Information

Samuel Aswile Mwakatajila ni mtazania aliyezaliwa katika kijiji cha Lyebe wilaya ya Rungwe mkoa wa mbeya nchini Tanzania. Ni mtumishi wa Mungu mwenye elimu ya theology na pia msomi mwenye shahada ya Telecommunication & Electronics Engineering. Mtumishi Samuel amekuwa akifundisha ujumbe wa neno alilopewa na Mungu maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa Munda mtefu sasa. Pia ni mwandishi wa vitabu na makala za kiimani ( Imani ya kikristo) kwa muda mtefu. Samuel anakualika kupata ujuzi wa kiMungu kupitia kitabu hiki.

Tab Content 6

Author Website:  

Countries Available

All regions
Latest Reading Guide

NOV RG 20252

 

Shopping Cart
Your cart is empty
Shopping cart
Mailing List