|
![]() |
|||
|
||||
OverviewMartha ni muoga. Anahitaji kuzoeana na marafiki zake darasani, lakini hiyo sivyo namna alivyo. Anataka kuwa shujaa, na mwenye ujasiri lakini hafahamu nini cha kufanya. Baada ya ajali ya kuaibisha, Martha anapitia safari ya kuvutia, kwa msaada wa wazazi wake, waalimu na familia, Martha anajifunza umuhimu wa kujieleza mwenyewe na kwanini ni muhimu kufanya hivyo. Hiki ni kitabu kizuri cha kuchorwa kinafungua ulimwengu kwa watoto kutafuta kinachowasukuma ndani mwao, huku wakijifunza somo kuu la maisha njiani. Full Product DetailsAuthor: Miss Martha LumatetePublisher: IngramSpark Imprint: IngramSpark Dimensions: Width: 15.20cm , Height: 0.30cm , Length: 22.90cm Weight: 0.086kg ISBN: 9781088021514ISBN 10: 1088021514 Pages: 38 Publication Date: 04 January 2022 Recommended Age: From 0 to 12 years Audience: Children/juvenile , Children / Juvenile Format: Paperback Publisher's Status: Active Availability: Available To Order ![]() We have confirmation that this item is in stock with the supplier. It will be ordered in for you and dispatched immediately. Language: Swahili Table of ContentsReviewsAuthor InformationTab Content 6Author Website:Countries AvailableAll regions |