Malezi Yaliyo Na Hizia Njema: Kinacho Elekeza Malezi Bora

Author:   Dr Roy W Harris ,  Rev Anthony Lusichi Mbukhitsa
Publisher:   Rhmpublications
ISBN:  

9780997281668


Pages:   180
Publication Date:   08 March 2017
Format:   Paperback
Availability:   Available To Order   Availability explained
We have confirmation that this item is in stock with the supplier. It will be ordered in for you and dispatched immediately.

Our Price $21.09 Quantity:  
Add to Cart

Share |

Malezi Yaliyo Na Hizia Njema: Kinacho Elekeza Malezi Bora


Add your own review!

Overview

Ufafanuzi mwepesi kuhusu ulezi ni mshauri anayeaminika, na mwalimu kulingana na tafsiri ya oxford. Etimologia wengi wana elezea chanjo cha mlezi, Tabia kwa Horners Odyssey. Aliyekuwa rafika wakutumainiwa wa Odysseus. Neno mlezi, katika karneya sasa, kwanza ilitazamwa katika mapema karne17. Imekipana na marekebisho makubwa miaka kumi iliyopita au saidi na sasa ni kuna lugha na tamko tofauti sinazo Nnenwa ulimwenguni. Hakuna jambo lililo mpya kuhusiana na malezi. Walezi, walilea na watu wakipokea malezi yalianza wakati wa kwanza watu walipoanza kutembea ulimwenguni. Tabia ya walezi, na njinsi wale walio wanafunzi jinsi wanavyopokea malezi, na mbinu inayochukuliwa na kuelekezwa na walezi wote uchangia ufanisi au kushindwa kuhusiana na mwondoko wa ulezi au mwenendo. Watu wengi ni egezo la kijumla kuhusiana na (ulezi) ambayo watu wengine wanamimina maishani kwa sababu yakile watu walipanda maishani mwako na kudhania kuwa utafanyika. Tuna majukumu kupeana katika hali ya kuongeza ndani ya maisha ya wengine na kuwasaidia wawe watu Mungu alikusaidia wawe. Mwandishi huyu alipeana halihii ya kulea kwa kuwaelekeza wengine na kusababisha mbinu inayofaa kuleta na kufanyika walezi wanao fanikiwa. Kitabu kinachukua mwelekeo ambao mtu yeyote yule anaweza kuelewa na kufahamu hatua kwa hatua katika barabara ya ulezi. Malezi yanaitaji muda wa kuegeza, Talanta, na hasina, lakini matokeo ni pora sana kuliko kuegeza. Malezi ya wakati wote upokee hasa kama sio mengi kuhusiana ulezi kwa wengine hasa wale wanaopokea ulezi. Soma kitabu hiki ukiwa katika hali ya maombi, tamanio la kuegeza katika maisha ya wengine, na kuwa tayari kujifunza, utaweza kushangaa kuhusiana na kile Mungu atafanya na pamoja kukupitia wewe na uguzo wa ajabu utakao wekeza katika maisha yaw engine.

Full Product Details

Author:   Dr Roy W Harris ,  Rev Anthony Lusichi Mbukhitsa
Publisher:   Rhmpublications
Imprint:   Rhmpublications
Dimensions:   Width: 15.20cm , Height: 1.00cm , Length: 22.90cm
Weight:   0.249kg
ISBN:  

9780997281668


ISBN 10:   0997281669
Pages:   180
Publication Date:   08 March 2017
Audience:   General/trade ,  General
Format:   Paperback
Publisher's Status:   Active
Availability:   Available To Order   Availability explained
We have confirmation that this item is in stock with the supplier. It will be ordered in for you and dispatched immediately.
Language:   Swahili

Table of Contents

Reviews

Author Information

Dr. Roy W.Harris akiwa mzoefu wa miaka mingi ya ulezi katika kurasa za malezi ukiwa katika hisia njema. Amewalea mamia ya wanafunzi wakati wa miaka 16 akiwa katika taaluma ya usimamishi kwenye chuo cha Welch maeneo ya Nashville, TN. Dr. Harris ni mtumishi aliyetiwa mafuta na mchungaji akiwa amesimamia makanisa kule North Carolina, Georgia, Tennesse na Kuntucky. Alisimamia na kulea wafanyi kazi mmoja hadi ishirini na nne. Anaendelea kuwalea vijana na wazee kote kote Marikani na ngambo ya bahari nchini Kenya, Tanzania, na Uganda. Dr. Harris amehitimu katika sgahada la Bachela of Arts na la master kuhusiana na huduma kutoka chuo cha Welech na pia Dactary katika shahada la phylosophia katika taaluma na h u duma ya uchungaji, kutoka Theologia ya seminary ya Trinity.

Tab Content 6

Author Website:  

Customer Reviews

Recent Reviews

No review item found!

Add your own review!

Countries Available

All regions
Latest Reading Guide

MRG2025CC

 

Shopping Cart
Your cart is empty
Shopping cart
Mailing List