|
![]() |
|||
|
||||
OverviewMaelezo ya Kitabu Chuaro alilelewa katika eneo la mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini. Kwa masomo yake ya shule ya upili, alihudhuria shule ya bweni katika kijji cha Transkei ambapo watu waliishi maisha ya kizamani. Yeye na marafiki zake walifikiri wasichana katika maeneo hayo ya mashambani walikuwa wajinga kwa sababu hawakuvaa kama wao na walisumbuka zaidi kwamba wasichana hawakufunika matiti yao. Jumamosi moja alasiri walipokuwa wakitembea, walikutana na wasichana wa mashambani na kuwauliza kwa nini hawakuvaa sidiria au blauzi. Wakati huohuo, wasichana wa jiji walijifunza kwa njia ngumu kwamba hawa wasichana wa vijijini walikuwa na akili sana, na kuwafanya watilie shaka akili zao wenyewe. Full Product DetailsAuthor: Grace ZuzoPublisher: IngramSpark Imprint: IngramSpark Dimensions: Width: 20.30cm , Height: 0.20cm , Length: 25.40cm Weight: 0.104kg ISBN: 9781088080870ISBN 10: 1088080871 Pages: 42 Publication Date: 21 December 2022 Recommended Age: From 1 to 12 years Audience: Children/juvenile , Children / Juvenile Format: Paperback Publisher's Status: Active Availability: Available To Order ![]() We have confirmation that this item is in stock with the supplier. It will be ordered in for you and dispatched immediately. Language: Swahili Table of ContentsReviewsAuthor InformationTab Content 6Author Website:Countries AvailableAll regions |